Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa Oburu asema ODM haitasimamisha mgombea urais 2027

  • | Citizen TV
    1,482 views
    Duration: 1:29
    kinara wa chama cha odm, dkt. oburu oginga, amesisitiza kuwa chama hicho hakitakuwa na mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwakaujao. akizungumza mjini homa bay, oburu alisema odm itaendelea kuunga mkono azma ya rais william ruto kupata muhula wa pili. haya ni huku viongozi wa odm wakitetea utendakazi wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (iebc) na kuwataka wanasiasa kuipa nafasi ya kutekeleza majukumu yake.