Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa ODM Oburu aliongoza mkutano wa chama cha Odm mjini Mombasa

  • | Citizen TV
    5,965 views
    Duration: 3:16
    Nao wanasiasa wa mrengo wa ODM unaoongozwa na kinara Oburu Oginga walipuuza mkutano ulioongozwa na katibu kuu wa chama hicho Edwin Sifuna huko Kitengela wakiutaja kama uasi wa chama hicho. Mrengo huu ukimtaka Sifuna na kundi lake kuondoka chamani na kukoma kutumiwa na wapinzani wao kuvuruga umaarufu wa chama hicho.