Kindiki aagiza kufungwa kwa migodi ya Dabel baada ya watu saba kuuawa

  • | KBC Video
    61 views

    Waziri wa usalama wa kitaifa, Kithure Kindiki ameagiza kufungwa kwa maeneo ya uchimbaji madini ya Dabel kaunti ya Marsabit. Hatua hii inafuatia makabiliano yaliozuka baina ya makundi pinzani ya wachimbaji madini na kusababisha vifo vya watu 7. Kulingana na Kindiki, kikosi maalum cha maafisa kutoka idara ya upelelezi wa jinai kimeanza uchunguzi kuwatambua na kuwashtaki waliohusika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive