19 Feb 2026 7:52 pm | Citizen TV 746 views Duration: 1:11 Naibu rais Profesa Kithure Kindiki ametoa hakikisho kuwa miradi yote ya barabara iliyokwama itakamilika mwaka huu baada ya serikali kulipa shilingi bilioni mia moja sabini na saba kwa wanakandarasi