- 2,066 viewsDuration: 3:04Naye Naibu Rais Kithure Kindiki amewaongoza wanasiasa wa Kenya Kwanza kuwazomea wenzao kwenye upinzani, kwa kile wanasema ni kuhubiri chuki na migawanyiko nchini. Kindiki aliyeongoza hafla za uwezeshaji katika kaunti za Wajir na Garissa ametetea hatua ya serikali kuondoa vikwazo kwa wakaazi wa kaunti za mpakani