Kindiki ametetea michango kwa makundi mbalimbali

  • | Citizen TV
    469 views

    Naibu rais Kithure Kindiki sasa ametetea michango ya hivi punde kutoka viongozi mbali mbali, akisema michango hiyo inawiana na malengo ya mpango wa bottom up. Akizungumza kaunti ya Tana River, Kindiki alisema kuwa serikali pia itahakikisha uwepo wa miradi ya maendeleo kote nchini, bila ubaguzi. Viongozi kutoka ukanda wa Pwani pia waliwarai wakaazi kususia siasa za ukabila na kushirikiana na serikali wakati huu