Skip to main content
Skip to main content

Kindiki amkemea Gachagua na siasa za kikabila

  • | Citizen TV
    1,439 views
    Duration: 2:38
    Naibu Rais Kithure Kindiki amekemea upinzani kwa kuendesha siasa za kimaeneo, akiwahakikishia wakenya kuwa serikali inajizatiti kuwasawazisha maendeleo nchini bila kuangalia miegemeo ya kisiasa .Kindiki aliyeongoza vikosi vya Kenya kwanza kwenye hafla za uwezeshaji Huko Taita Taveta,Nyeri na Kakamega, pia amewataka viongozi wa eneo la kati kuiga siasa za hayati rais mwai kibaki, kufuatia msukosuko wa kisiasa amabao umeshuhudiwa eno hilo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.