- 165 viewsDuration: 1:14Naibu Rais Kithure Kindiki amesema serikali imeweka usalama wa kutosha katika mpaka wa Kaunti ya Kitui na Garissa katika juhudi za kurejesha amani katika eneo hilo. Kindiki amesema kuwa serikali haitalegeza kamba katika kuhakikisha kuwa eneo hilo limesalia na utulivu, akitoa onyo kwa wanasiasa dhidi ya kueneza sema za uchochezi.