Kindiki asuta upinzani kwa madai ya uchochezi

  • | KBC Video
    1,544 views

    Naibu rais Prof. Kithure Kindiki ameendeleza shutma dhidi ya wapinzani wanaochochea ghasia na kuendeleza siasa za migawanyiko na ukabila humu nchini. Akizungumza huko Kiminini, kaunti ya Bungoma wakati wa hafla ya kuchangisha pesa za kuwapa wanawake uwezo, Kindiki alisema kuwa serikali inajitahidi kubadili maisha ya wakenya na kuhakikisha ustawi wa nchi wenye usawa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive