Kindiki ateuliwa Naibu Kinara wa UDA

  • | Citizen TV
    1,213 views

    Baraza kuu la chama cha UDA limeafikia kumuondoa Rigathi Gachagua kama naibu kinara wa chama hicho na kumteua Profesa Kithure Kindiki kuchukua nafasi hiyo. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya gachagua kuondolewa ofisini na bunge la kitaifa pamoja na seneti.