Skip to main content
Skip to main content

Kindiki: Kenya imejitolea kufanikisha afya kwa wote

  • | KBC Video
    248 views
    Duration: 3:09
    Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amesema utawala wa Kenya Kwanza umejitolea kuafikia mabadiliko katika sekta ya afya kote nchini. Prof Kindiki, ambaye alihudhuria sherehe ya 94 ya mahafali ya chuo cha mafunzo ya matibabu nchini-KMTC katika uwanja wa michezo wa kimataifa wa Moi Sports Centre Kasarani, jijini Nairobi, alisema kwamba mageuzi muhimu yametekelezwa katika sekta ya afya chini ya uongozi ulio sasa madarakani .Aidha alisema kupelekwa kwa wahudumu wa afya ya jamii kwenye vijiji vyote kote nchini ni hatua muhimu hususan katika kushughulikia masuala ya afya mashinani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive