Naibu Rais Kithure Kindiki amesisitiza kuwa mfumo wa kielektroniki wa utoaji zabuni utaendelea kutekelezwa licha ya changamoto zilizoripotiwa katika utekelezaji wake. Naibu Rais alikuwa akijibu malalamishi ya baraza la magavana, ambalo lilieleza kuwa mfumo huo mpya haujaweza kutekelezwa ipasavyo na sasa umekuwa kikwazo katika ununuzi wa bidhaa muhimu za serikali za kaunti, ikiwemo dawa na vifaa vya matubabu. Giverson Maina anatuletea taarifa hiyo kwa kina.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive