- 4,751 viewsDuration: 2:47Naye Naibu wa Rais Prof. Kithure Kindiki anasema kamwe hawatishiki na ushindi wa DCP katika uchaguzi mdogo wa Ol Kalou, akisisitiza kuwa ushindi huo hauna msingi wowote kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kindiki, aliyezungumza katika Kaunti ya Embu, amewataka wakazi wa Mlima Kenya kudumisha umoja na kutokubali kugawanywa kwa misingi ya kisiasa. Viongozi wengine wa Kenya Kwanza waliokuwa maeneo ya Magharibi pia wameendelea kumpigia debe Rais William Ruto. Chrispine Otieno anatuarifu zaidi.