Kindiki: Walioharibu mali katika maandamano watakamatwa

  • | Citizen TV
    748 views

    Naibu rais Kithure Kindiki sasa amesema kuwa serikali itawachukulia hatua wale waliohusika na uharibifu wa mali Jumatano wiki hii wakati wa maandamano. Akizungumza Kitui Magharibi, Kindiki alikashifu ukiukaji wa sheria, huku akisema kuwa hulka hiyo haitokubaliwa tena. Semi sawia zilisheheni kaunti za Tana River na Kakamega ambapo viongozi wanaoegemea serikali waliendesha michango kwa makundi mbalimbali