Kiongozi wa chama tawala akubali kushindwa, upinzani furahani
Uchaguzi Ghana: Wafuasi wa Upinzani washerehekea ushindi baada ya makamu wa rais kukubali kushindwa
Wafuasi wa chama cha upinzani nchini Ghana walisherehekea nje ya ofisi ya makao makuu ya chama chao siku ya Jumapili,
baada ya Makamu wa Rais Mahamudu Bawumia kukubali kushindwa na rais wa zamani, John Mahama, siku moja baada ya uchaguzi.
Mgombea wa Chama cha National Democratic Congress alithibitisha ushindi wake kupitia mtandao wa X, ambao ulikuwa ukijulikana kama Twitter, kama “ushindi wa wazi.”
Makamu wa rais wa Chama tawala cha New Patriotic Party alimpigia simu kumpongeza, Mahama alisema.
Tume ya Uchaguzi bado haijatangaza matokeo rasmi.
#ghana #uchaguzi #habari #afrika #voaafrika
17 Jun 2025
- Rescue efforts are underway.
17 Jun 2025
- The matatu operators promised to halt transport services until their demands are met.
17 Jun 2025
- Protests on Tuesday took a violent turn after goons stormed the Nairobi CBD.
17 Jun 2025
- Siaya Resident Magistrate’s Court has ordered blogger Michael Oduor, also known as Mike Ochieng, to pay Ksh.3 million in general damages for defamation.
17 Jun 2025
- The government has swiftly responded to a devastating fire that broke out at Stage Woria in Kawangware, Nairobi, claiming one life and rendering 14 families homeless.
17 Jun 2025
- Anti-riot police officers on Tuesday opened fire at a hawker selling face masks at close range along Moi Avenue in Nairobi CBD during the demonstrations calling for the resignation of Deputy Inspector General Eliud Lagat.
17 Jun 2025
- Rescue efforts are underway.
17 Jun 2025
- Seven police officers suspected of shooting and killing Daniel Mwangi in London Estate, Nakuru, on June 9, have been detained for seven more days, pending investigations by Independent Policing Oversight Authority (IPOA).
17 Jun 2025
- The Bill had also called for a review of statutory deductions, such as the NHIF, NSSF, and housing levy, to a progressive structure
17 Jun 2025
- Sundowns striker Shalulile targets goals and glory at FIFA Club World Cup
17 Jun 2025
- Court rules that Mr Wilfred Nyagudi suffered reputational harm as a result of the posts which first appeared on Facebook.
17 Jun 2025
- Williams ready to make history with Sundowns at FIFA Club World Cup
17 Jun 2025
- Czech, Slovak planes evacuate 139 people from Israel