Kiongozi wa kike Kericho awatia moyo wanafunzi

  • | Citizen TV
    56 views

    Wanafunzi mia nne Thelatini na wawili walioko chini ya mpango wa usawa kwa wote unaoongozwa na Mwakilishi wa kike katika Kaunti ya Kericho Beatrice kemei wamepewa ushauri siku chache kabla ya kurudi shuleni