Kiongozi wa wachache bungeni Opiyo Wandayi ahofia hali shuleni Januari

  • | Citizen TV
    984 views

    Kiongozi wa wachache bungeni Opiyo Wandayi, ameelezea wasiwasi wake kuhusu jinsi shule za upili zitakavyoendesha shughuli zake kuanzia Mwezi ujao kutokana na malimbikizi ya pesa ambazo serikali ilikuwa inapaswa kutoa kufadhili masomo katika shule hizo. aidha wandayi ameitaka serikali kutaua changamoto zinazokabili masomo ya sekondari msingi ili kuhakikisha kuwa mfumo wa elimu wa CBC umefanikishwa na wanafunzi wanapata masomo ya kutosha.