Kiongozi wa wengi wa bunge la kaunti ya Mombasa atimuliwa

  • | Citizen TV
    672 views

    Bunge la kaunti ya mombasa limemtimua kiongozi wa wengi Athman Mwamwiri baada ya chama cha ODM kuwasilisha hoja hiyo kutokana na uamuzi wa chama mnamo Julai 3