Kipute cha CECAFA Tanzania

  • | Citizen TV
    1,315 views

    Timu ya taifa ya soka ya kina dada Harambee Starlets imeadhibu Sudan Kusini kwa mabao 4-0 kwenye mechi yao ya tatu ya mchuano wa CECAFA nchini tanzania. Kenya ilifunga mabao mawili katika kila kipindi katika uwanja wa Azam, Chamazi.