Kipute cha safaricom chapa dimba kinaendelea Kisumu

  • | Citizen TV
    182 views

    Kipute cha safaricom chapa dimba kimeingia hatua ya nusu fainali hii leo katika uga wa jomo kenyatta jijini kisumu huku timu za akina dada zikishuka dimbani kung'ang'ania zawadi ya shilingI milioni moja kwa washindi wa makala ya nne ya chapa dimba ambayo yanayonuia kusaka vipaji vya soka kwa wavulana na wasichana wasiozidi umri wa miaka ishirini.