Skip to main content
Skip to main content

Kirimi Kaberia na washtakiwa wenza wakanusha mashtaka ya ubathirifu wa shilingi millioni 330

  • | KBC Video
    210 views
    Duration: 3:41
    Aliyekuwa katibu wa michezo Peter Kirimi Kaberia na watu wengine watano wamekanusha mashtaka ya ubathirifu wa shillingi millioni 330 zilizokusudiwa kununua vifaa kwa maandalizi ya dimba la CHAN la mwaka 2018.Washtakiwa amboa walifikishwa katika mahakama ya kukabiliana na ufisadi ya Milimani leo wanakabiliwa na mashtaka mbali mbali yakiwemo kupanga njama ya kutekeleza uhalifu wa kiuchumi, kujipatia mali ya umma kwa njia zisizo halali na matumizi mabaya ya mamlaka.Walikamatwa mapema leo na maafisa kutoka kitengo cha tume ya kukabiliana na ufisadi nchini EACC mapema leo.Hapa ni John Kahiro na maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive