Kisiwa cha Rubu ni kivutio cha watalii katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    655 views

    Kaunti ya Lamu ina raslimali nyingi zinazowavutia watalii ikiwemo fukwe za bahari na hata ngome, majabali na wanyama wa baharini na hata wanyama pori. Ni viumbe na maeneo ambayo tangu jadi yamekuwa kivutio kikuu cha Utalii.