Kituo cha Egesa FM chashirikiana na Wakenya Pamoja Sacco katika hafla ya uzinduzi mjini Kisii

  • | Citizen TV
    766 views

    Kituo cha redio cha Egesa kwa ushirikiano na Wakenya Pamoja Sacco kilitua mjini Kisii kwa kishindo katika hafla ya hamasisho kwa wateja wa shirika hilo ambalo limezindua kiunzi cha rununu.