Kituo cha kuzalisha miche ya parachichi chazinduliwa Kisii

  • | Citizen TV
    185 views

    Kwa miaka mingi, kaunti ya kisii imejulikana kwa uzalishaji wa ndizi hadi katika mataifa ya kigeni, ila kwa sasa uzinduzi wa kituo cha kuzalisha miche ya parachichi huenda kukabadili muonekano wa kilimo eneo hili