Kituo cha mafunzo cha dini ya kiislamu chafungwa

  • | Citizen TV
    520 views

    Kamati ya usalama ya kaunti ya Garissa wamefunga mara moja kituo cha mafunzo cha dini ya Kiislamu cha Quba kufuatia malumbano ya uongozi yaliyosababisha kujeruhiwa kwa watu kadhaa