Ofisi yateketezwa mahakamani Bomet

  • | Citizen TV
    124 views

    Shughuli za vikao vya mahakama zilitatizwa hapo jana katika mahakama ya Bomet baada ya watu wasiojulikana kuteketeza baadhi ya ofisi yenye stakabadhi muhimu katika korti hiyo usiku wa kuamkia jana..