Kituo cha Mulembe FM chahamasisha umma kuhusu kilimo

  • | Citizen TV
    134 views

    Kampuni ya Royal Media Services kupitia kituo cha Mulembe Fm imeshirikiana na kampuni za fedha, mbegu na mbolea kuwahamasisha wakulima wa eneo la magharibi kuhusu mbinu bora za kilimo wakati huu wakulima wanajitayarisha kwa msimu wa upanzi.