Kituo cha redio cha Muuga FM kimeandaa siku ya wakulima kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    602 views

    Kituo cha redio cha muuga fm kinachomilikiwa na kampuni ya royal media services kimeandaa hafla kabambe ya kusherehekea Siku ya Wakulima katika kituo cha Mafunzo ya ukulima cha Kaguru, eneo bunge la Imenti kusini,kaunti ya Meru. hafla hiyo inanuiwa kuwahamasisha wakulima kuhusu njia Bora na za kasasa za ukulima kwenye eneo hili. Gregory Murithi anaungana nasi mubashara kutoka kituo cha mafunzo.