22 Mar 2026 5:43 pm | Citizen TV 328 views Duration: 1:14 Kituo cha redio cha Wimwaro Fm kinachomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services kimeongoza mchakato wa kubadilisha taswira ya shule ya msingi ya Njukiri iliyoko katika kaunti ya Embu.