Kiwanda cha Miciimikuru kimeanzishwa eneo la Tigania

  • | Citizen TV
    160 views

    Kiwanda Cha Majani Chai cha Miciimikuru, kimeanza Ujenzi wa Kiwanda kipya Cha Majani Chai eneo la Amugaa, Eneo bunge la Tigania Mashariki kaunti ya Meru. Kiwanda hicho kipya kitakapokamilika Kitasaidia kusiaga idadi kubwa ya Majani Chai ambayo kiwanda cha sasa kinashindwa kuhudumia