Kizaazaa kilishuhudiwa katika kituo cha Gitaraka,Mwea

  • | Citizen TV
    950 views

    Kizaaza kimeshuhudiwa katika kituo cha polisi cha gitaraka eneo la Mwea, kaunti ya Embu baada ya wakaazi waliokuwa na hasira kuvamia kituo cha polisi wakiwatafuta watu waliohusika kwenye jaribio la kuwafurusha