Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa mazishini Kisumu baada ya Orengo kutimuliwa

  • | Citizen TV
    35,039 views
    Duration: 3:08
    Kizaazaa kilishuhudiwa katika mazishi ya babake mbunge wa Seme James Nyikal wakati ambapo Gavana wa Siaya James Orengo alitolewa nje ya hafla hiyo kabla ya kutoa rambirambi zake kwa familia. Iililazimu viongozi wa kanisa kuingilia kati huku hafla ikiendelea baada ya Orengo kuondoka. Viongozi wa ODM waliohudhuria mazishi walisisitiza kuwa chama hicho kinashirikiana na UDA, huku wengine wakitaka mirengo yote miwili ya ODM kuweka tofauti zao kando.