Kizazi cha Gen- Z chajiuliza idadi ya watu watakao jitokeza kwenye uchaguzi mkuu 2024

  • | VOA Swahili
    596 views
    Kuhusiana na maamuzi ya hivi karibuni ya Mahakama ya Juu Marekani mwanafunzi wa kizazi cha Gen-Z anajiuliza juu ya idadi ya watu watakao jitokeza kwenye uchaguzi mkuu 2024 nchini Marekani. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya vijana na mchambuzi. Mchambuzi anaeleza wanasiasa wanaweza kufanya nini kubadili msimamo wa kizazi cha Gen-Z. Endelea kusikiliza... #haki #mahakama #siasa #voa #voaswahili #dunianileo #kizazi #gen-z #wamarekani #tabaka #makabila #vizazi #tabia #mwenendo #wanasiasa - - - - - # #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.