Kwa miaka mingi, klabu kongwe za soka Tanzania Yanga na Simba zimekuwa zaidi ya timu za mpira; zimekuwa jukwaa la siasa, kusaka umaarufu na daraja la mafanikio ya kisiasa kwa baadhi ya viongozi.
Hata hivyo, kuna hatari ya klabu kutumika kisiasa bila kupata faida ya moja kwa moja kama vile wanasiasa kutumia jina la klabu kujinufaisha kisiasa bila kuwekeza au kusaidia maendeleo ya klabu hizo.
Swali la msingi linaibuka: Ni nani ananufaika zaidi klabu au siasa?
Ungana na Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds akilichambua hili kinagaubaga.
🎥: Frank Mavura
#bbcswahili #tanzania #siasa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
27 Aug 2025
- Obuya, a veteran parliamentary journalist, secured the Secretary General position unopposed after leading in early support, prompting his challengers to withdraw before the final vote. In his acceptance speech, Obuya expressed gratitude to members of…
27 Aug 2025
- Details of the agreement, dated August 6, 2025, are outlined in documents filed under the Foreign Agents Registration Act (FARA) with the United States Department of Justice.
27 Aug 2025
- Filed by Elizabeth Ochieng, the petition outlines a series of claims against Dr. Kobia, including presiding over alleged financial improprieties, issuing irregular employment contracts, and undermining constitutional standards of public leadership. The…
27 Aug 2025
- The Kenya Human Rights Commission (KHRC) has accused President William Ruto’s administration of undermining the 2010 Constitution, even