Skip to main content
Skip to main content

KNCHR: Watu 3 walifariki katika uchaguzi mdogo wa Novemba

  • | KBC Video
    101 views
    Duration: 3:44
    Ripoti ya Tume ya Kitaifa kuhusu Haki za Binadamu ya mwaka 2025, inaangazia takwimu za kutia wasiwasi kuhusu ukiukaji wa haki ya kuishi, ya kisiasa, na haki ya uhuru na usalama wa mtu. Ripoti hiyo inadai kuwa, jumla ya watu 57 waliuawa katika mauaji ya kiholela, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, huku visa 661 vya malalamishi kuhusu ukiukaji wa haki ya uhuru na usalama wa mtu, vikiwemo visa 15 vya utekaji nyara vilivyoripotiwa. Ripoti hiyo pia ilirekodi visa vitatu vya mauaji katika chaguzi ndogo zilizokamilika hivi majuzi, ambapo watu wawili walipoteza maisha yao katika eneo la Kasipul na mtu mmoja kuuawa katika wadi ya Kabuchai. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive