Skip to main content
Skip to main content

Kocha Juma atangaza rasmi kikosi cha mwisho cha Kenya U20 kwa mechi za kufuzu dhidi ya Tanzania

  • | Citizen TV
    32 views
    Kocha wa timu ya taifa ya wanawake walio na chini ya miaka 20 Jackiline Juma ametaja kikosi chake cha mwisho kabla ya mechi yao dhidi ya Tanzania jumamosi kwenye uwanja wa michezo wa ulinzi. Nyota hao watakuwa wenyeji wa mkondo wa kwanza wa raundi ya tatu ya mechi za kufuzu kwa kombe la dunia kabla ya kuelekea tanzania kwa mkondo wa marudiano tarehe 15 februari