Kocha wa Harambee Stars Benni McCarthy awasuta mashabiki

  • | Citizen TV
    366 views

    Kocha wa timu ya taifa ya kandanda harambee stars Benni McCarthy ametoa mashambulizi makali kwa mashabiki wa soka wa kenya kwa kutaka matokeo ya haraka baada ya mechi tatu pekee.