Kombe la Dunia: Ghana yafanya vizuri, Korea Kusini yaonyesha ushindani mkali

  • | VOA Swahili
    95 views
    Michuano ya soka inaendelea huko Qatar ambako timu nyingi zinaendelea kuwashangaza wengi. Lakini ni kitu gani ambacho kinafanya watu wapata butwaa katika mashindano haya. Mwandishi wetu aliyeko Qatar Sunday Shomari anaungana na studio za VOA Washington DC, kutuletea yale yanayojiri akieleza timu ya Ghana pamoja na kunyakua ushindi dhidi ya timu ya Korea Kusini bado ilikuwa ikishambuliwa vikali sana. Endelea kusikiliza yaliyojiri... #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #koriyatakudu #southkorea #ghana - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.