Skip to main content
Skip to main content

`Kondo la binadamu lauzwa kimagendo

  • | BBC Swahili
    15,350 views
    Duration: 1:21
    Je, uliwahi kufikiria kwamba kondo la nyuma la mama baada ya kujifungua linaweza kuwa sehemu ya biashara ya siri ya kimataifa? Nchini Pakistan, polisi wanachunguza mtandao unaodaiwa kukusanya na kusafirisha kondo la nyuma la binadamu kwa ajili ya kutengeneza bidhaa zinazodaiwa kupunguza dalili za uzee. Uchunguzi huo umeibua maswali kuhusu usalama wa afya ya umma na matumizi ya tishu za binadamu Mwandishi wa BBC Leila Mohammed @mrs.tadicha na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #urembo #afya #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw