Kongamano kuhusu hali ya anga kukamilika kesho

  • | Citizen TV
    170 views

    Kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya anga linakamilika hapo kesho lakini bado ajenda muhimu zilizoratibiwa miaka minane iliyopita hazijaafikiwa. Rais wa kongamano hilo akitoa wito kwa mataifa kuelewana, wanaharakati nao wakilitaja kongamano hili kuwa bure bilashi na kwamba matangazo ya hela yaliyotolewa mwanzoni mwa kongamano yalikuwa yakufumba macho mataifa dhidi ya masuala muhimu.