Kongamano la 24 la Afrika kuhusu mbegu lililoandaliwa Mombasa lakamilika

  • | Citizen TV
    82 views

    Waziri wa kilimo mithika linturi anatarajiwa kufunga kongamano la 24 kuhusu mbegu barani afrika hii leo huko mombasa. wajumbe Zaidi ya 300 wanahudhuria kongamano hilo LINALOLENGA kuboresha mchakato wa kuzalisha mbegu za kisasa ili kuuongeza uzalishaji wa chakula barani. Francis Mtalaki anajiunga nasi moja kwa moja kutoka mombasa.