- 234 viewsDuration: 2:32Kongamano la kwanza la kutoa hamasa kuhusu matatizo ya kuandika na kusoma yaani dyslexia limefanyika hapa jijini Nairobi ambapo wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, viongozi wanaobuni sera na walezi wa watoto wanaokabiliwa na matatizo hayo walielezea changamoto wanazopitia