Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la maaskofu wa Kanisa Katoliki laendelea Nairobi

  • | Citizen TV
    278 views
    Duration: 1:22
    kongamano la maaskofu wa kanisa katoliki la siku nane linanedelea katika chuo kikuu cha katoliki bewa la nairobi. ajenda kuu ni kuhimiza umoja, matumaini, haki na utawala bora. vijana zaidi ya elfu kumi kutoka mataifa ya afrika mashariki wanashiriki kongamano hilo.