5 Dec 2025 1:47 pm | Citizen TV 298 views Duration: 1:25 Mwenyekiti wa bodi ya sukari ya Kenya, Nicholas Gumbo, ametoa wito kwa vijana kujitosa katika kilimo cha miwa, akisema kuwa ukuaji wa baadaye wa sekta ya sukari nchini sasa uko mikononi mwa vijana wanaojua teknolojia