1 Oct 2025 1:27 pm | Citizen TV 138 views Duration: 2:04 Kongamano la masuala ya bahari limekamilika kaunti ya Mombasa huku washikadau katika sekta hiyo wakitakiwa kufanya kazi kwa pamoja na kubuni mikakati ya kuilinda bahari na viumbe vyake.