Kongamano la taasisi za serikali yakamilika

  • | Citizen TV
    153 views

    Kongamano la taasisi za serikali linakamilika hii leo kisiwani mombasa. Mkuu wa wafanyakazi wa umma Felix Kosgei anatazamiwa kufunga rasmi kongamano hilo ambalo linadajili mbinu za kuboresha utendakazi wa idara za serikali.