Kongamano la Ugatuzi Homa Bay

  • | Citizen TV
    301 views

    Kongamano la ugatuzi linaendelea katika kaunti ya Homa Bay ugatuzi kwa siku ya tatu sasa. Kongamano hilo linalenga kudadisi mafanikio na changamoto za kaunti chini ya mfumo wa ugatuzi. Magavana wanashinikiza majukumu ya kaunti yaandamane na fedha za kufanikisha majukumu yao