Kongamano la ugatuzi laendelea mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu kwa siku ya pili

  • | Citizen TV
    447 views

    Kongamano la ugatuzi linaloendelea mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu limeendelea kwa siku ya pili huku kinara wa Azimio Raila Odinga akitarajiwa kuhutubia kongamano hilo