Kongamano la ugatuzi limekamilika Homa Bay

  • | Citizen TV
    378 views

    Kongamano la siku nne la ugatuzi limekamilika rasmi huko Homa Bay, hii leo ikiwa zamu ya Naibu Rais Kithure Kindiki kuwahutubia wajumbe kutoka kaunti zote 47. Kindiki akikariri misimamo ya Rais William Ruto na Raila Odinga kuhusu ufisadi akisema swala hilo linapasa kukabiliwa kwani linazidi kuhujumu utendakazi wa serikali kuu na zile za kaunti.