Kongamano la Utalii Malindi

  • | Citizen TV
    115 views

    Mji wa Malindi utakuwa mwenyeji wa makala ya nne ya kongamano la utalii kati ya Kenya na Uganda litakaloandaliwa Oktoba 27 na 28 mwaka huu